Pages: 476

Year: 2020

Category: East Africa, History

Dimensions: 229 x 152mm

ISBN:
Shipping class: POD

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake

Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abamkama Bamu

Historia ya Kiziba na Wafalme Wake: Tafsiri ya Amakuru Ga Kiziba na Abakama Bamu
ni mchango mkubwa kwa fasihi ya kihistoria ya wenyeji wa Afrika ya
Mashariki na Tanzania. Utafiti wa Mfalme Mutahangarwa wa Kiziba
(aliyetawala 1903–1916) katika mwanzo wa karne ya ishirini ulikusanya
mabingwa wa simulizi za mdomo kutoka katika koo za kifalme na zisizo za
kifalme na shuhuda zao ziliandikwa na watu waliokwisha kujua kusoma na
kuandika, akiwemo F.X. Lwamgira. Miongo mine baadaye matokeo ya utafiti
huo yalipigwachapa kikatokea kitabu chenye kurasa 490 katika lugha ya
Kihaya ambach kilibaki bila kujulikana ingawa kilikuwa kitabu muhimu.
Tafsiri hii muhimu itafanya historia ya Kaskazini Magharibi mwa Tanzania
na Kusini Magharibi mwa Uganda kabla na mwanzoni mwa ukoloni iwafikie
kwa mara ya kwanza wasomi wengi.

£50.00

About the editors

Galasius B. Kamanzi

Translator Galasius B. Kamanzi is a long-term student of Kiziba history and Haya
folklore. He is a former teacher and civil servant with a B.A. in
Education, majoring in Economics and Linguistics, from the University of
Dar es Salaam. He also obtained a post-graduate diploma in General
Management from Mzumbe University. He is a co-author of Folktales from
Buhaya

Peter R. Schmidt

Peter R. Schmidt is Professor Emeritus of Anthropology at the University
of Florida and Extraordinary Professor of Anthropology and Archaeology
at the University of Pretoria, South Africa. He is author or editor of
fifteen books on African history, oral traditions, heritage, and
archaeology–many with a focus on the Haya.

Related books

The History of Kiziba and Its Kings

£50.00

Grasp the Shield Firmly the Journey is Hard

£57.00

Peter DM Bwimbo: Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere

£27.00

Mikidadi wa Mafia

£32.00