Pages: 28

Year: 2019

Category: Children & Teens

Dimensions: 210×148 mm

ISBN:
Shipping class: POD

Kwa Nini Fisi Hucheka

Vitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mengi ya kujifunza, yaliyomo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa. Watoto watajifunza haya yote. Kwa nini fisi Hucheka ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kusisimua zilizonuiwa kusomwa na watoto wa darasa la tatu, la nne na la tano.

£12.00

About the author