Publisher: East African Educational Publishers, Kenya
Pages: 194
Year: 2004
Category: Literature, Mystery & Crime
Dimensions: 178 x 127 mm
Mtambo wa Mauti
Mona Lisa, msichana mwenye sura ya malaika na umbo la malkia
anafakiwa kuutikisa ujabali wa Joram Kiango hata akakubali kustarehe
naye. Joram Kiango anajikuta katika mkasa mzito na wa kutisha, na ambao
hajawahi kukutana nao maishani alipokurupuka usiku wa manane na kumkuta
Mona Lisa akiwa maiti, tundu la risasi likivuja damu kifuani mwake.
Mkasa unazidi kuwa mzito pale Mona Lisa, aliyekufa anapotokea, tena
katika kila maficho ya Joram Kiango. Kila anapotokea maisha ya watu
wengi wasiokuwa na hatia yanaangamia. Mona Lisa ni binadamu wa kweli? Ni
jini au ni malaika? Ni miongoni mwa maswali ambayo nusura yamtie wazimu
Joram Kiango, jeshi zima na vikosi vyote vya usalama. Ungana naye Joram
kutatua kizungumkuti hiki kiso mwisho.
£15.00 – £16.00
About the author
The late Ben Mtobwa was one of Tanzania’s most prolific and prominent novelists. He was one of the founders of the popular novel in Swahili and is best know for his series of adventure novel featuring the investigator Joram Kiango.