• Search
  • Pages: 194

    Year: 2018

    Dimensions: 198 x 129mm

    ISBN:
    Shipping class: POD

    Njama

    Mpelelezi mashuhuri wa Afrika, Mtanzania, Willy Gamba, akiwa likizoni huko Afrika Magharibi, jijini Freetown, Sierra Leone, anatumiwa ujumbe wa haraka arudi upesi nchini kwani kumetokea hujuma kubwa. Kutokana na uzalendo wake hapotezi muda, hima anarejea nchini. Chifu wake anamweleza kuwa shehena kubwa ya silaha za kivita ambazo ni mali ya wapigania uhuru wa kusini mwa Afrika, imeibiwa bandarini katika mazingira ya kutatanisha. Habari hizi zinaleta utata mwingi, baadhi ya nchi zikisema ni njama za Makaburu, na nyingine zikisema ni njama za Tanzania. Katika kiza kinene kinachozunguka suala hili, serikali ya Tanzania inamtuma Willy Gamba kuwasaka majasusi hawa. Hapo ndipo patashika zinaanza na jiji la Dar es Salaam linakumbwa katika wimbi la msukosuko wa uhaini, usaliti, na mauaji ya kikatili…

    £18.00

    About the author

    E.A. Musiba

    The four books in this series of detective novels, written in Swahili, were authored by the late Aristablus Elvis Musiba. The novels follow the exploits of Willy Gamba, an elite special operations Tanzanian intelligence officer. Set in various locations in Africa Willy is dispatched to neutralise agents within the Apartheid Regime as well as saboteurs, who are out to destroy those involved with the liberation struggles being waged in Southern Africa.

    Related books

    Kufa na Kupona

    Price range: £17.00 through £18.00

    Hofu

    Price range: £17.00 through £18.00

    Vipande vya Dinosaria

    Price range: £32.00 through £44.00

    Kikosi cha Kisasi

    Price range: £17.00 through £18.00

    Zawadi ya Ushindi

    Price range: £15.00 through £16.00

    Nyuma ya Mapazia

    Price range: £15.00 through £16.00

    Dimbwi la Damu

    Price range: £15.00 through £16.00

    Salamu Kutoka Kuzimu

    Price range: £15.00 through £16.00

    Pesa Zako Zinanuka

    Price range: £15.00 through £16.00