Publisher: East African Educational Publishers, Kenya
Pages: 138
Year: 1984
Category: Literature, Mystery & Crime
Dimensions: 178 x 127 mm
Salamu Kutoka Kuzimu
Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha … Akikusalimu umekwisha … Hana mdhaha …
Lakini
yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue
kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo
litokee siku moja, saa moja… “Bendera zote duniani zipepee nusu
mlingoti,” anasema akichekelea. “Sijawahi kushindwa …” Jasho linawatoka
watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta kombaro machozi
yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.
£15.00 – £16.00
About the author
The late Ben Mtobwa was one of Tanzania’s most prolific and prominent novelists. He was one of the founders of the popular novel in Swahili and is best know for his series of adventure novel featuring the investigator Joram Kiango.