Publisher: East African Educational Publishers, Kenya
Pages: 182
Year: 1984
Category: Literature, Mystery & Crime
Dimensions: 178 x 127 mm
Nchi za mstari wa mbele katika ukombozi kusini
mwa Afrika zimetendewa mengi maovu na utawala huu dhalimu… Hata hivyo
haikupatikana kutokea tishio zito la kutisha kama hili, ambalo
linakaribia kutokea. Tukio la kutatanisha ambalo linawatoa machozi
wananchi wa nchi mbalimbali. Wanajitokeza mashujaa kwenda Afrika Kusini,
lakini kila aendaye huko hurudi na roho yake.
Inspekta Kombora
nchini Tanzania jasho linamtoka. Anawathamini mashujaa wengi lakini
anamtambua shujaa mmoja; Joram Kiango. Jambo la kusikitisha ni kwamba
sasa hivi, Joram ni mtumiaji mzuri ambaye anatembea kutoka jiji hadi
jiji akiwa na yule msichana mzuri Nuru. Juhudi za Kombora kumsihi
hazifui dafu. Badala yake Joram anafanya maajabu mengine ambayo
yanalichafua jina lake hapa nchini na kote duniani. Wakati huo siku
ambayo utawala huo umeweka ili kuachia pigo lao la mwisho inazidi
kukaribia. Sasa yamesalia masaa…
£16.00
About the author
The late Ben Mtobwa was one of Tanzania’s most prolific and prominent novelists. He was one of the founders of the popular novel in Swahili and is best know for his series of adventure novel featuring the investigator Joram Kiango.




