Publisher: Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania
Pages: 194
Year: 2002
Category: East Africa, History, Leadership, Political History & Theory, Politics
Dimensions: 203mm x 127mm
Uwazi na Ukweli Kitabu cha Pili
Rais wa Watu Azungumza na Wananchi
Katika kitabu hiki cha pili kwenye mfululizo wa vitabu vinavyokusanya hotuba zake za kila mwisho wa mwezi (cha tatu kinaandaliwa), Rais Benjamin Mkapa anazungumzia matukio mema na mabaya ya mwaka 2002, pamoja na hatua za maendeleo zilizopigwa na taifa katika nyanja za kisiasa, kijamii na kiuchumi. Rais Mkapa anaeleza kwa kina maana na athari za utandawazi kwetu kama taifa na kwa watu binafsi. Aidha anaendelea kueleza, kufafanua na kutetea sera ya ubinafsishaji na kuonyesha matunda ya sera hiyo bila kupuuza sokomoko kama lile lililofuatia hatua ya kubinafsisha shirika la TANESCO.
This series is a key record of the Presidency of Benjamin Mkapa of Tanzania, who held office from 1995-2005. From 2001 he instituted monthly TV and radio addresses to the Nation on various topics of national, political, social and economic interest. The addresses in these collections are organised chronologically.
£27.00
About the author
Benjamin William Mkapa (born November 12, 1938) was the third President of the United Republic of Tanzania (1995–2005) and former Chairman for the Revolutionary State Party (Chama Cha Mapinduzi, CCM).