Publisher: Mkuki na Nyota Publishers, Tanzania
Pages: 277
Year: 1999
Category: Fiction Classics, Literature
Dimensions: 203mm x 130mm
Vuta n’kuvute
Shafi Adam Shafi aliyeadika Kasri ya Mwinyi Fuad na Kuli anainua kiwango na hadhi ya fasihi ya Kiswahili katika riwaya hii Vute n’ kuvute. Kwanza, kuna ndoa ya Yasmin, motto wa kihindi kwa Bwana Raza, mzee sawa na babu yake. Yasmin anafukuzwa na wazee wake kwa kumwacha Raza. Katika upweke wake anasitiriwa na Mwajuma, shoga yake anayeishi ili kustarehe katika dansa, taarab na pegi za vikali. Yasmin anaingizwa uswahilni. Kuna wive unaopelekea kifo cha Shibab, mume wa pili wa Yasmin. Kuna Denge, Yasmin anampenda lakini hapedeki. Kwa Denge ni mapambano na ukoloni tu na makachero wake. Hii ni Vutu n’ kuvute ambayo sherti yeye na wenzake waishinde.
This award-winning novel is set in Zanzibar in the years before the
revolution. It brings together characters from the Indian and Swahili
communities, portraying all the tensions between the communities,
complications of inter racial relationships, the struggle of workers
against colonialism and influence of students returned home from Soviet
Union with revolutionary theories. The brilliantly sketched and
unforgettable characters in the novel have put Adam Shafi at the
forefront of Swahili novelists.
£23.00