• Search
  • Mhe. Benjamin William Mkapa, Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    “Safari hii ni ndefu na simulizi yake ni ya kusisimua mno. Rais Mwinyi amefanya jambo jema kuandika kumbukumbu za matukio mbalimbali yaliyopamba njia yake katika Chama na Serikali.”