Publisher: East African Educational Publishers, Kenya
Pages: 114
Year: 1984
Category: Literature, Mystery & Crime
Dimensions: 178 x 127 mm
“…Inspekta, najisikia kuua tena…” inadai
sauti katika sim ambayo imo mikononi mwa shupavu wa polisi. Hii ikiwa
simu ya pili, baada ya ile ya awali ambayo ilifuatwa na kifo cha
mwandishi maarufu, inamtia Inspekta hasira kali, nusu ya wazimu.
Anafanya yote awezayo kufanya ili amtie mwuaju huyu mikononi mwa
sheria…hapatikani…
Ndipo anajitokeza Joram Kiango. Mbinu zake
za pekee, pamoja na kutokwa jasho jingi, kunamwezesha kugundua mengi
amabyo yanaitisha dunia na kuitetemesha nchi nzima. lakini kila hatua
anayoipiga katika upelelezi wake inamsongeza karibu zaidi na kinywa cha
mauti chenye kiu ya damu yake, kilicho wazi kikimsubiri kwa hamu…
Price range: £15.00 through £16.00
About the author
The late Ben Mtobwa was one of Tanzania’s most prolific and prominent novelists. He was one of the founders of the popular novel in Swahili and is best know for his series of adventure novel featuring the investigator Joram Kiango.